Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 825
- 1,074
Aseee ndugu zangu wanaJF mnaweza kudhani ni masikhara au ni matumizi mabaya ya simu yangu ila ukweli haipo hivyo...
Ukweli ni kwamba nimekuwa na deep feelings kwa huyu msanii anaitwa Zuchu kiasi kwamba ananijia mpaka ndotoni..
Natamani na napenda kuwa nae ila sijui naanzia wapi[emoji27]
Sent using Jamii Forums mobile app