Nampongeza Dkt. Bashiru Ally lakini...

Poa moto. Hata Kijazi mwenyewe alikuwa Mhandisi wa kawaida Tanroads, mtaalam wa madaraja na useremala ("Highway Engineering"); hakuwahi kuwa Karani wala DC, wala diplomat. Na nyie subirini 2025 Godbless akirudi mtampa awe IGP ingawa hana uzoefu (au uzoefu wake tuseme ni from the other direction!), ubaya ni upi?
 
Naona una bwabwaja tu.
Kijazi hajawi kufanya kazi TANROADS.
Pili, Eng Kijazi alianza na Ukurugenzi Wizara ya Ujenzi halafu akawa Katibu Mkuu wizara ya Ujenzi.
Tatu, Kijazi akawa Balozi nchini India akiwaskilisha Tanzania nchi kadhaa.

Mkuu kama huna facts heri ukanye mbege au kimpumu upumzike.
 
Ccm Ina watu wengi sana wenye uwezo
Hoja yako ya uzoefu nii mfu,muhimu ni uadilifu na uchapa kazi,ndio maana CS anatakiwa awe balozi
Pengine umezaliwa jana.
Mzee Timothy Apiyo hakuwahi kuwa Balozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…