johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mkuu kwa hiyo wabunge wale wote walikuwa na tabia za changudoa?Kwani alikuwa anawabaka? Mwanamke anayejiheshimu na anayejiamini hawezi kukiachia kirahisi rahisi. Watakua wana tabia za kichangudoa.
Ukikataa anakutisha kukuvua uanachamaKwani alikuwa anawabaka? Mwanamke anayejiheshimu na anayejiamini hawezi kukiachia kirahisi rahisi. Watakua wana tabia za kichangudoa.
Anaitwa nani?Alikataa lakini akampigia pande mdogo wake! Au hilo hulijui?
Dr Immaculate Semesi Sware, naye leo kakimbia!Anaitwa nani?
Jamani hili jina la Yesu lilishatumika vibaya na yule mvuta bangi, sasa na huku JF tusiendelee kulitumia vibaya, tulipe heshima yake. Ni jina kubwa sana wala hakuna mwanadamu anayestahili kuitwa jina hilo chini ya jua.Yesu na kairuki wamezaa mtoto kila mtu anafahamu .
Ndiyo maana nimesema, "anayejiheshimu na anayejiamini".Ukikataa anakutisha kukuvua uanachama
Nikirudia alivyosema na mimi nitakuwa narudia kosa lake. Na ndiyo maana nimeomba wanaJF tusirudie kiso hilo.
Hajaomba na sdhani kama kwa akili yake atafanya hivyo.Kwani aliyefanya kosa hilo ameshaomba msamaha mkuu?
Mmm nalo nenoNachukua fursa hii wakati Bunge la Ndugai linaenda kuvunjwa ndani ya saa 24 zijazo kumpongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalumu aliozawadiwa na CHADEMA.
Kwa aina hii ya tabia iliyooneshwa na wabunge wa viti maalumu CHADEMA hawa akina Sungura hakika wangemkwaza sana mama wa watu.
Maendeleo hayana vyama!
Vp wale wanaitwa Issa nao wahuni? Acha kuchafua watu.Kasoro wale wahuni wa America ya kusini wanaoitwa Jesus!
Alisema yeye (Kangi) anamfananisha rais na Yesu.Huyo mvuta bangi alisemaje mkuu?
Hawa wabunge wa viti maalumu kumbe vitumbua vyao huwa vinashughulikiwa ipasavyoNachukua fursa hii wakati Bunge la Ndugai linaenda kuvunjwa ndani ya saa 24 zijazo kumpongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalumu aliozawadiwa na CHADEMA.
Kwa aina hii ya tabia iliyooneshwa na wabunge wa viti maalumu CHADEMA hawa akina Sungura hakika wangemkwaza sana mama wa watu.
Maendeleo hayana vyama!
Vipi kuhusu Mama Salma kukubali fadhila..?Nachukua fursa hii wakati Bunge la Ndugai linaenda kuvunjwa ndani ya saa 24 zijazo kumpongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalumu aliozawadiwa na CHADEMA.
Kwa aina hii ya tabia iliyooneshwa na wabunge wa viti maalumu CHADEMA hawa akina Sungura hakika wangemkwaza sana mama wa watu.
Maendeleo hayana vyama!
Maendeleo yana vyama ndo maana chadema mpaka leo hawana ofisi pamoja na ruzuku, michango ya wadau na makato ya mishahara ya wabunge wao kwa kinachodaiwa kuchangia maendeleo ya chama.Maendeleo hayana vyama!
Mwenyekiti sio mchezo nasikia alikuwa anazipiga hadi mademu wanahisi harufu ya mishkakiBora wameondoka chadema papuchi zao zipumzike