Nilisha leata uzi humu kuhusu maumivu yangu juu ya hii kitu inayo itwa Viti maalumu,binafsi nakereka Sana na hilijambo,tuna wabunge wa kila Jimbo na wanalipwa na Kodi zetu,hapo hapo wapo wa viti maalum ambao kiuhalisia sijawahi kuona michango yao ktk chochote kile na wengine hawajawahi ongea chochote ama kuchangia chochote ndani ya bunge tangu waingie mule,wanalipwa kwa Kodi zetu,inauma Sana jamani ifikie mahali wahusika mtuonee huruma,hapohapo ukichunguza utagundua wengi wamepewa viti maalum ajili ni nyumba ndogo za wakubwa,kweli jamani!kwa nchi changa Kama hii,Sasa mwaka huu yamejidhihirisha hadharani na wao kwa wao wanasemana hadharani,ifike mahali Tanzania tuamke jamani,