Nampongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalum kupitia CHADEMA, amelinda heshima yake

Nampongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalum kupitia CHADEMA, amelinda heshima yake

Nilisha leata uzi humu kuhusu maumivu yangu juu ya hii kitu inayo itwa Viti maalumu,binafsi nakereka Sana na hilijambo,tuna wabunge wa kila Jimbo na wanalipwa na Kodi zetu,hapo hapo wapo wa viti maalum ambao kiuhalisia sijawahi kuona michango yao ktk chochote kile na wengine hawajawahi ongea chochote ama kuchangia chochote ndani ya bunge tangu waingie mule,wanalipwa kwa Kodi zetu,inauma Sana jamani ifikie mahali wahusika mtuonee huruma,hapohapo ukichunguza utagundua wengi wamepewa viti maalum ajili ni nyumba ndogo za wakubwa,kweli jamani!kwa nchi changa Kama hii,Sasa mwaka huu yamejidhihirisha hadharani na wao kwa wao wanasemana hadharani,ifike mahali Tanzania tuamke jamani,
Lilikuwa wazo la kishamba sana, kwamba unamu empower mtu kwa kumpa nafasi ya bure ni ujuha
 
Huyo mama mbona alifurahia sana kutambulishwa kuliko hata mumewe?
 
Jamani hili jina la Yesu lilishatumika vibaya na yule mvuta bangi, sasa na huku JF tusiendelee kulitumia vibaya, tulipe heshima yake. Ni jina kubwa sana wala hakuna mwanadamu anayestahili kuitwa jina hilo chini ya jua.
Mtumwa wa kifikra, jina kuu lipitalo majina yote ni la Mungu aliye hai pekee. Majina mengineyo yoyote uyafahamuyo ni majina tu kama mengine.
 
Mtumwa wa kifikra, jina kuu lipitalo majina yote ni la Mungu aliye hai pekee. Majina mengineyo yoyote uyafahamuyo ni majina tu kama mengine.
Sijui wewe ni dini gani, lakini kama ni mkristo kasome Wafipi 4;9-11 na Matendo 4:10-12.
Kama siyo mkristo basi ni vigumu kuelewa.
Siyo utumwa wa fikra mimi kuamini ninachoamini kulingana na dini yangu.
 
Kwa kauli yako mwenyewe, usimlazimishe huyo jamaa kutumia jina lolote atakavyo maana hujui imani yake. Maandiko duniani yapo mengi sana na ndiyo yanayotumika kutuweka vifungoni ama kutufungua pia. Chaguo ni lako kama ilivyo kwangu pia.
 
Nashukuru umenielewa, lakini hakuna mahali nimeonesha kumlazimisha mtu. Ni kweli kila mtu na imani yake.
 
Back
Top Bottom