johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa kifupi sana
Rais Samia katoa Ndege kwa Mashabiki kindakindaki wa Yanga kwenda kuishangilia Yanga fainali ya CAF huko Algeria
Waliopanda hiyo Ndege sasa ni tofauti kabisa na malengo ya mh Rais
Niliiona Jina la Freeman kwenye orodha ya watakaosafiri lakini nimeambiwa Mbowe alisema nafasi yake awekwe Shabiki wa kweli atayeenda kushangilia Dakika zote 90 bila kuchoka, yeye ataenda kwa Ndege nyingine akitaka kwenda
Kwa hili nakupongeza sana Freeman umejitofautisha na hao matajiri walioziba nafasi za Mashabiki wa " Ukweli"