Nampongeza Rais Samia kwa kuisongesha miradi aliyoikuta. Mungu ambariki! Nimeifuatilia miradi hii kwa uchache

Nampongeza Rais Samia kwa kuisongesha miradi aliyoikuta. Mungu ambariki! Nimeifuatilia miradi hii kwa uchache

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
Alipoingia madarakani, wasiwasi ulitanda: miradi aliyoikuta itakufa! Sasa inaenda vizuri na kasi yake imeongezeka, check hapa:

1. SGR kama kawa. Baba PM kaenda Korea Kusini hivi karibuni kushuhudia mabehewa yetu mapya yaliyo tayari na yanayoendelea kutengenezwa.

2. STIGLERS' GORGE kama kawa (Hofu kubwa kwa wengi ilikuwa hapa)

3. Miradi ya barabara ndo usiseme. Mf. Dar hivi karibuni itakuwa kama Ulaya, kila kona barabara mpya, mwendokasi na midaraja.

4. WAMI, tayari tunavuka

5. Barabara ya kimkakati. TANGA-PANGANI-BAGAMOYO (256 KM) inasonga

N.k
N.k
N.k

Mama tunakutakia afya njema.
 
wakina Luhaga mpina watapinga hii. wao hamu yao ni kuona miradi haikamiliki ili waseme ohhhhh
 
Back
Top Bottom