King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
SureIla haka kadada kazuri sana kasipopaka matakataka yale!!
Kumbe kujiremba sana ni kujiharibu tu.
MzuriSijawahi kumkubali Rihanna kama ni mzuri.
Hakuna kitu kama hicho huyo anajionyesha na chepe zake mbili basi.vitu vya kawaida. ukute huko US nje ya Camera wanafanya zaidi ya hayo.
They say beauty is in the eye of the beholder........Mzuri