Nampongeza Rihanna, umaarufu kauacha Marekani kaja Afrika kusaidia

Nampongeza Rihanna, umaarufu kauacha Marekani kaja Afrika kusaidia

Ktk hiyo picha ya mwisho her nipple says and I quote I am strong and Independent I can show my self even on strange land with or without a bucket of water on your head" end of quote hahaaaaaaa
 
Kumbe ni kabaya kakivaa malapu lapu...
inawezekana Africa kuna madem wakali sana...sema umasikini umetaradadi
 
They say beauty is in the eye of the beholder........

Yaani mie namuona wa kawaida sana hakuwahi kunivutia Tangia enzi hizo ana hits na Music of the sun pon de replay.

KJ.jpg
 
Anawaiga wasafi walivumyoamua kugawa karanga
 
Ndio mana hawapendi kuja TZ sababu mijitu ya huku in minafiki kupindukia
 
Back
Top Bottom