Namrudisha Mke wangu kwao

Kabla hujamrudisha kwao, nenda mkapime afya zenu maana kwa tabia yako hiyo labda tayari umekwisha kumwambukiza gonjwa na unakwepa wajibu wako wa kumuuguza.
Nimepima na imeonekana sina ngoma. Nalog off
 
Kwani hasa nikulize bwana wewe Raha ya huko unakoonja na hiyo ya ndani sio sawa? au ndani viti na mapazia umeyazowea mzuka haupandi mpaka upewe kungu?
 
Nahisi hukumpenda huyo mkeo au mlilazimishwa tu hiyo ndoa.
Asante kwa kutuhabarisha na hongera kwa maamuzi uliyochukua pia usiache kutuhabarisha kilichojiri baada ya kumpeleka kwao.
 
Nahisi hukumpenda huyo mkeo au mlilazimishwa tu hiyo ndoa.
Asante kwa kutuhabarisha na hongera kwa maamuzi uliyochukua pia usiache kutuhabarisha kilichojiri baada ya kumpeleka kwao.

Nashukuru kwa kuliona hilo,hakuna shaka nitaweka up to date,kwenye hii thread baada ya kulimaliza hili soo.Nalog off
 
Kwani hasa nikulize bwana wewe Raha ya huko unakoonja na hiyo ya ndani sio sawa? au ndani viti na mapazia umeyazowea mzuka haupandi mpaka upewe kungu?

hapana nyumbani sipati ninachokitaka na siwezi kuomba kutokana na dini yangu.Nalog off
 
Dah..kaka yangu umenisononesha sana,tena nimeumia sana,kwann ulimuoa,je kabla ya ndoa hujua hilo..?achana na vicheche vya nje..mpende mkeo kaka.
Nimemua huyu binti wakati siijui starehe sasa nikajaribu na mie kuanza kujirusha,kwahiyo nimejipa miaka miwili ya kufanya starehe. Nalog off
 
acha utoto,kwani unafikiri kumrudishs kwao ndo utakuwa umetibu hiyo tabia yako?acha uzinzi,tulia kwa mkeo na mwishowe matunda utayaona.au ulilazimishwa kumuoa?
 
washa washa usimkimbie mweleze awe mtulivu hii ni jf kangamoko
 
acha utoto,kwani unafikiri kumrudishs kwao ndo utakuwa umetibu hiyo tabia yako?acha uzinzi,tulia kwa mkeo na mwishowe matunda utayaona.au ulilazimishwa kumuoa?
Hapana sikulazimishwa kumuoa. Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…