Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
- #121
Ni mke wangu. Nalog offHuyo ni mkeo au hawala yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mke wangu. Nalog offHuyo ni mkeo au hawala yako?
Nimepima na imeonekana sina ngoma. Nalog offKabla hujamrudisha kwao, nenda mkapime afya zenu maana kwa tabia yako hiyo labda tayari umekwisha kumwambukiza gonjwa na unakwepa wajibu wako wa kumuuguza.
Nashukuru kwa kuliona hilo. Nalog offuna roho nzuri wewe halafu choice nzuri ya cku yaani jumapili wazazi nao watajitahidi sana wasiue
aisee wewe utakuwa malaya mpk umejikubali!mpeleke tu kaka
Kwa nini wewe usirudi kwenu?umwachie nyumba,
shuka halina mfuko ..... nalog Off 😛oa
Nahisi hukumpenda huyo mkeo au mlilazimishwa tu hiyo ndoa.
Asante kwa kutuhabarisha na hongera kwa maamuzi uliyochukua pia usiache kutuhabarisha kilichojiri baada ya kumpeleka kwao.
Kwani hasa nikulize bwana wewe Raha ya huko unakoonja na hiyo ya ndani sio sawa? au ndani viti na mapazia umeyazowea mzuka haupandi mpaka upewe kungu?
Washawasha baby. Hii ni Ze commedy, no comments dude!
Kaka siwezi kukuletea mke kaka,mie nakwenda kumuacha,wewe ukimtaka mfuate kwao. Nalog offkama ana tabia nzuri mlete kwangu kaka,
Nimemua huyu binti wakati siijui starehe sasa nikajaribu na mie kuanza kujirusha,kwahiyo nimejipa miaka miwili ya kufanya starehe. Nalog offDah..kaka yangu umenisononesha sana,tena nimeumia sana,kwann ulimuoa,je kabla ya ndoa hujua hilo..?achana na vicheche vya nje..mpende mkeo kaka.
Hapana sikulazimishwa kumuoa. Nalog offacha utoto,kwani unafikiri kumrudishs kwao ndo utakuwa umetibu hiyo tabia yako?acha uzinzi,tulia kwa mkeo na mwishowe matunda utayaona.au ulilazimishwa kumuoa?
Sawa nitafanya hivyo. Nalog offwasha washa usimkimbie mweleze awe mtulivu hii ni jf kangamoko