Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Wakuu ninaomba ushauri kutoka kwenu. Ninaye ndugu yangu ambae hali yake kifedha ni dhwaiful hali yaani hana kila kitu. Majuzi aliniomba akiniambia ndugu yangu bwana Mwizukulu Mgikuru ninaomba uninunulie walau freezer mbili ili niweze kufanya biashara ya kuuza ice cream na maji baridi.
Nikajichanga nikamnunulia nikiamini kuwa nitamtoa kwenye dhiki, cha ajabu juzi nimeenda kumtembelea naona kama hali yake ni ile ile yaani inazidi kuwa ngumu kuliko kwa kifupi ni kwamba hana analolifanya
Note that huyu ndugu ni lile kabila la wajuaji kutoka kule kanda ya ziwa kila nikijaribu kumshauri anajifanya kujua kwa kila kitu, hana akiba hana chochote wala lolote.
Nimejaribu kumshauri kwamba akipata pesa basi ajitahidi ale kidogo na kingine aweke kama akiba itakayomsaidia hapo baadae lakini nakuwa kama natwanga maji kwenye kinu.