Namsaport Lady JAY dee 100% "MOYO KIZA KINENE HUWEZI KUJUA...."

Namsaport Lady JAY dee 100% "MOYO KIZA KINENE HUWEZI KUJUA...."

Dah...!huyu mdada amekusudia kuua,20yrs ameiishi kwa kuzuga na mkaka wa watu!dah....!ama kweli (PENYE UONGO UKWELI UTAJIFICHUA TU)nampa pole huyo kaka.
 
Kwahiyo wewe unachomaanisha hapa ni kwamba huyo mwanamke aliolewa na mwanaume
ambaye sio chaguo lake?????? Au uvivu wake wa kushindwa kuwajibika.
Nilivyoelewa mimi tatizo ni kuzaa nje ya ndoa.
 
huyo dada wa aina yake ina maana hakuwa hata na chembe chembe za upendo na mumewe miaka 20 yote
 
ishu ni kua biological father au? mwambieni jamaa aache ushamba, hao watoto ni wake kwani yeye ndio kawa babayao tangu wakiwa tumboni mwa mama yao.. mpaka hapo walipo, to be a father is more that giving ur sperms!

= kabisa, but inauma sana, bora hata angekucheat kwa mtoto moja, ila wote hao sio wake duu...sidhani ka atakuja penda tena
 
benki gani inayotoa taarifa za kiwango cha pesa ya mteja kwa mtu?
 
Kwetu ukizaa na mke wa mtu ni sawa tu na aliyepanda mbegu kwenye shamba la jirani bila ridhaa ya mwenye shamba. Hawezi kwenda kudai mazao baadaye.
 
Back
Top Bottom