Namshauri GSM avunje Mkataba na TFF ili Pesa Zitumike Katika Usajili Yanga SC

Namshauri GSM avunje Mkataba na TFF ili Pesa Zitumike Katika Usajili Yanga SC

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Sio kwamba nimekuwa mshabiki wa GSM kuwekeza pesa kwenye Ligi badala ya kwenye Klabu.

Bali ninalipinga vikali kitendo hiko. Kwanini asiwekeze mpunga kweye usajili wa wachezaji katika dirisha lijalo?

Kwanini apeleke pesa TFF ambayo mwisho wa siku itaenda kuwafaidisha wengineo?

Mimi ninamshauri akae meza moja na TFF ndani ya siku chache ili mkataba uvunjwe, maana sisi wanajangwani tunamapungufu makubwa sana katika eneo la Kiungo pale. Hata maeneo mengine pia.

Maombi yangu ninajua wazi yatamfikia GHALIB maana nimetaarifiwa kuwa uncle wako yuko kwenye majukwaa ya michezo mitandaoni ili kukusanya intelijensia.

Ni Upuuzi kupoteza pesa ambayo inhetifaa kwenye usajili wa dirisha dogo kwenye vitu vya kipuuzi.

Inakadiriwa mahitaji ya usajili wa uboreshaji kikosi ktk dirisha dogo ni Bilioni 1.5.

Yasikie haya GSM, Achana na upuuzi wa kutawanya pesa.
 
Sasa kama hamkidhi mahitaji yake ya kibiashara kwa nn aendelee kukomaa na ninyi pekee yenu? Kumbuka huyu ni mfanya biashara na ana kiu ya kufanya biashara. Anatamani sana kuwakilishwa kimataifa na watani, kitu ambacho Yanga imeshindwa kufanya kwa takribani misimu 5 ya udhamini wake.
Sio kwamba nimekuwa mshabiki wa GSM kuwekeza pesa kwenye Ligi badala ya kwenye Klabu.

Bali ninalipinga vikali kitendo hiko. Kwanini asiwekeze mpunga kweye usajili wa wachezaji katika dirisha lijalo...
 
Sio kwamba nimekuwa mshabiki wa GSM kuwekeza pesa kwenye Ligi badala ya kwenye Klabu.

Bali ninalipinga vikali kitendo hiko. Kwanini asiwekeze mpunga kweye usajili wa wachezaji katika dirisha lijalo...
Wewe si ulikuwa umesema Simba kakubali yaishe,umekuja na huu ushauri baada ya kuona mabango yanang’olewa pale Taifa siyo. GSM hakuwa mjinga kutaka kujitangaza kupitia Simba kwa mgongo wa TFF baada ya kuona Yanga haieleweki hasa kwenye mashindano makubwa ya Kimataifa.Wakati wewe unamshauri awekeze kwenye usajili zaidi pale Yanga,GSM akili yake ni kupata access ya matangazo Simba,hizi team nyingine zilizobaki ni kama kisingizio tu kwakuwa zote zipo ligi moja.

Pole GSM ukiendelea kuwasikiliza hao chawa wako kina Hersi na chawa wadogo wadogo kama Manara,utaendelea kula za uso na hasa pale swala linapoihusu Simba.
 
Kuna watu hamjui kwamba GSM ni bepari. Bepari yeyote anawaza MAXIMIZATION OF PROFIT.

GSM hayuko Yanga kujifurahisha bali kutengeneza faida. Na ameona Yanga siyo platform inayolipa. Hawaeleweki. Yaani atumie mabilioni yake kwenye usajili halafu apate nini kutoka Yanga.Hiyo hela haokoti.

Kaona sasa aitumie Simba kupitia mgongo wa tff.
 
Uyo sio yule tapeli wenu anaefaidika alafu anawaambia anapata hasara wakati anapiga mpunga kimya kimya, anauza wachezaji bora ananunua wa mafungu matokeo yake mnaangalia namna ya kukwepa kuleta timu uwanjani
 
Misheni ya kuitumia SIMBA km mgongo imefeli mkuu.Ugulieni maumivu.Mabango yote piga chini.

Umesahau GSM ndiyo wale wakwepa kodi ambao zamani walijulikana km HOME SHOPPING CENTRE.

Ni suala la muda mtawafukuza mtakapojua kwamba hawa hawaisadii Yanga.Janja janja.

Jezi inauzwa sh 35,000/= Utopolo mnaambulia sh 1000/= Mna akili nyie.

Mnaibiwa halafu mnaambiwa anawafadhili.
Hakuna yanga mwenye akili,zuzu alishasemaga.
 
Uyo sio yule tapeli wenu anaefaidika alafu anawaambia anapata hasara wakati anapiga mpunga kimya kimya, anauza wachezaji bora ananunua wa mafungu matokeo yake mnaangalia namna ya kukwepa kuleta timu uwanjani
Tulia kwanza kwani hersi juzi alisemaje kuhusu uto kupata hasara?
 
Yanga ni mazuzu - shafih dauda 2021
 
IMG_20211210_213129.png
 
Ghalib ameona kuendelea kuweka hela Utopolo ni uduwanzi,anatamani aje kwenye timu ya moyo wake lakini imekuwa ngumu ndiyo maana akajaribu njia hii lakini nayo imeshaingia luba, na aliyemharibia si mwingine bali ni ule msukule kwani siku ile wametoka kutia saini mkataba akaanza kurusha vijembe Simba kuwa sasa itakuwa mikononi mwa Yanga kupitia udhamini wa GSM.View attachment 2039567View attachment 2039569

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
hyo
Screenshot_20211210-212851_1.jpg
 
Wewe si ulikuwa umesema Simba kakubali yaishe,umekuja na huu ushauri baada ya kuona mabango yanang’olewa pale Taifa siyo. GSM hakuwa mjinga kutaka kujitangaza kupitia Simba kwa mgongo...
usajiri wa ligi unaenda mpaka kimataifa?
 
Dah, Sikuwa najua, Leo Mmenifungua MACHO.

Kumbe Wale Home Shopping Centre Janja janja Wakwepa Kodi Za Serikali ndo Hawa GSM.

Sasa Mama Samia ....Usicheke na Nyani anzia hapo ... Dai Madeni Yako.

Hela Zako za Halali Wanazo dhulumati Kama GSM kupitia Home Shopping Centre badala Ya Kukomaa na Sisi Kupitia Tozo.
 
Sasa kama hamkidhi mahitaji yake ya kibiashara kwa nn aendelee kukomaa na ninyi pekee yenu? Kumbuka huyu ni mfanya biashara na ana kiu ya kufanya biashara. Anatamani sana kuwakilishwa kimataifa na watani, kitu ambacho Yanga imeshindwa kufanya kwa takribani misimu 5 ya udhamini wake.
Si ajitoe kama ni hivyo.
 
Wewe si ulikuwa umesema Simba kakubali yaishe,umekuja na huu ushauri baada ya kuona mabango yanang’olewa pale Taifa siyo. GSM hakuwa mjinga kutaka kujitangaza kupitia Simba kwa mgongo wa TFF baada ya kuona Yanga haieleweki hasa kwenye mashindano makubwa ya Kimataifa.Wakati wewe unamshauri awekeze kwenye usajili zaidi pale Yanga,GSM akili yake ni kupata access ya matangazo Simba,hizi team nyingine zilizobaki ni kama kisingizio tu kwakuwa zote zipo ligi moja.

Pole GSM ukiendelea kuwasikiliza hao chawa wako kina Hersi na chawa wadogo wadogo kama Manara,utaendelea kula za uso na hasa pale swala linapoihusu Simba.
Ila tukija kwenye uhalisia, ambaye aeleweki sio Yanga bali ni wao GSM. Hayupo straight kwenye kufanya vitu bali ni uhuni uhuni tu. Yanga imepata fursa ya kucheza klabu bingwa lakini hakuwekeza kwenye kuandaa timu badala yake akawekeza kwenye propaganda. Aucho, Bangala na Mayele ambao unajua fika umewasajili kwaajili ya klabu bingwa lakini unashindwa kukamilisha vibali vyao ili wawe kwenye sehemu ya kikosi. Una mechi muhimu za kimataifa lakini badala ya kukomaa na maandalizi na mechi za kirafiki akakomaa na wiki ya mwanamchi.
 
Back
Top Bottom