pakikucha maambazi wanalala wewe......acha zako...acha pakuche tuonane, kwenye giza hatuonaniNakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.
Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.
Kila mtu anaona injustice inayotokea.
Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Hapana. Angetumia busara tu kwa wakati huu. Kwani siku saba ni nini ? Mungu alisema ndio hapana wa kusema hapanaNasema kama Lissu ameamua liwalo na liwe tuko nyuma yake
SawaHapana. Angetumia busara tu kwa wakati huu. Kwani siku saba ni nini ? Mungu alisema ndio hapana wa kusema hapana
Jijibu mwenyeweKumbe ndio mnachokitafuta sio??
Hata mie Niko tayari kufa kuliko kukabidhi nchi tena kwa muuaji, fedhuli na mbaguzi magufuliTuko tayari kufa kuliko kukabidhi nchi kwa Robert Amstadam
Achana na huo ushauri wa wana CCM wameshaona maji yamezidi ungaMkuu siku 7 nje ya kampeni ni siku nyingi sana hasa ukitilia maanani kwamba Nchi yetu ni kubwa na hizi ni dakika za lala salama. Achanje mbuga tu.
Hata mie Niko tayari kufa kuliko kukabidhi nchi tena kwa muuaji, fedhuli na mbaguzi magufuli
Na wewe pia uko tayari kufa? Ungeanza na ID halisi kwanza na picha ili tukujue na tujue kwamba uko tayari kwa lolote na hauna woga wowote, ...
Umeelewa vibaya ndugu namaanisha nguvu ya umma ndugu ulioshikiwa aqiliKwa hiyo mko tayari kuuza nchi kwa limama yake Lissu lizungu sio?? how pathetic!!
Kwani kuweka id yangu na Jina halisi kunahusiana nini na msimamo wangu???
Ukitoa viongozi wakuu ccm tuliobaki wote letu moja hatamimi ni ccm hapa lakini nilichofanyiwa nihatari hatamwalim nyerere alikataa hatakama yeye nichamatawala lakini akiona upande wake wamechagua wahovyo upande wapili kuna mtu safi atachagua mtu safi hii ndio faida yakutoshikiwa aqiliUmma unaouona wewe ni wale misukule wa machadema tu!!? umma wa ccm huuoni pia?
Trip porini trip gerejiNini kinasababisha Magufuli apumzike mara kwa mara?
WaKenya waliuana na wakachomana moto kabisa hao mnaowalamba miguu wakawapeleka tu wakina Uhuru na wenzie kwenda kutalii huko ICC na wakarudi......mzungu nae anaangalia maslahi akutetee wewe kwa kipi utakachomfaidisha?? Maana anajua watu wenyewe ni ma keyboard warriors tu kwanini apoteze resources za watu wake aje kutetea jitu linalojificha tu nyuma ya keyboard hata kuingia mtaani kurusha jiwe tu ni ogaUmeshasema uhuru!! Unadhani uhur ni mjinga kama mtu wenu huyo???
Hao wote uliowataja wana mabaya yao ila at least wana akili kuliko huyo mjinga wenu!! Ushawai ona bunge la marekani likimjadili Kagame au Museveni ?? Au Kenyata?????
Huyo mjinga wenu hadi bunge la marekani linamjadili tena vibaya sana. Ajiandae tu kupotea
CCM mmejaza mabango peke yenu nchi nzima ,mnajisifu mmefanya mambo makubwa sana lakini mna mgombea weak vibaya mno hawezi kufanya kampeni mfululizo for 7 days mmebaki kutumia polisi na NEC kumdhibiti Lissu Muda wa kukataliwa duniani na mbinguni umeshafika kwa Meko.WaKenya waliuana na wakachomana moto kabisa hao mnaowalamba miguu wakawapeleka tu wakina Uhuru na wenzie kwenda kutalii huko ICC na wakarudi......mzungu nae anaangalia maslahi akutetee wewe kwa kipi utakachomfaidisha?? Maana anajua watu wenyewe ni ma keyboard warriors tu kwanini apoteze resources za watu wake aje kutetea jitu linalojificha tu nyuma ya keyboard hata kuingia mtaani kurusha jiwe tu ni oga
Nimenukuu kauliyake alisema iwapo chama chake kikiteuwa mtu asiefaa naupande mwingine wakaleta mtu safi yeye atachagua mtu safi ndio nikasema hii ndio faida yakujishikia akilizako mwenyeweUsimfananishe Nyerere na vitu vya kijinga
Rudi hapa baada ya tarehe 28 tuhakikishe haya unayosemaCCM mmejaza mabango peke yenu nchi nzima ,mnajisifu mmefanya mambo makubwa sana lakini mna mgombea weak vibaya mno hawezi kufanya kampeni mfululizo for 7 days mmebaki kutumia polisi na NEC kumdhibiti Lissu Muda wa kukataliwa duniani na mbinguni umeshafika kwa Meko.
SirudiRudi hapa baada ya tarehe 28 tuhakikishe haya unayosema
Endelea kuamini huo ujinga uliolishwa hapo Lumumba!! Mwambieni tu magufuli wenu a jiandae. Marekani hajawai kutaniana na wapuuziWaKenya waliuana na wakachomana moto kabisa hao mnaowalamba miguu wakawapeleka tu wakina Uhuru na wenzie kwenda kutalii huko ICC na wakarudi......mzungu nae anaangalia maslahi akutetee wewe kwa kipi utakachomfaidisha?? Maana anajua watu wenyewe ni ma keyboard warriors tu kwanini apoteze resources za watu wake aje kutetea jitu linalojificha tu nyuma ya keyboard hata kuingia mtaani kurusha jiwe tu ni oga
Aanze Belarus huko.............mtegemea cha ndugu hufa masikini....keyboard warrior jipiganie mwenyewe Mmarekani hana muda na huo utopolo wenuEndelea kuamini huo ujinga uliolishwa hapo Lumumba!! Mwambieni tu magufuli wenu a jiandae. Marekani hajawai kutaniana na wapuuzi
Aah si mtakua tayari na uraia wa ukimbizi ubeligijiSirudi