Kweli jela ni kubaya na hakuna heshima kwa mfungwa/mahabusi, nyampara mdogo kiumri anaweza kumpiga hovyo mzee mwenye umri mkubwa kama anagomea amri fulani hivi ya nyampara kama kubeba mtondoo au kudeki seloJela haina VIP mdogo wangu jela iskie kwa wenzako tu
Jamaa hata akiachiwa Leo, labda akaanze ufugajiKifupi sabaya ni zero empty na hakuna future Wala connection kuwa Nate. Yule mwanamama wake ni mlimbwende na bado Ana ndoto na maono makubwa aachane na sabaya ; sabaya ameshafeli maisha ni zero set aachane nae aolewe na mwanaume mwenye future.
Punguza chukiKifupi sabaya ni zero empty na hakuna future Wala connection kuwa Nate. Yule mwanamama wake ni mlimbwende na bado Ana ndoto na maono makubwa aachane na sabaya ; sabaya ameshafeli maisha ni zero set aachane nae aolewe na mwanaume mwenye future.