LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Kweli jela ni kubaya na hakuna heshima kwa mfungwa/mahabusi, nyampara mdogo kiumri anaweza kumpiga hovyo mzee mwenye umri mkubwa kama anagomea amri fulani hivi ya nyampara kama kubeba mtondoo au kudeki seloJela haina VIP mdogo wangu jela iskie kwa wenzako tu