comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
1. Abadili katiba itakayomfanya atawale mpaka azeeke awe kikongwe, maana support hiyo anayo, ili aendelee kutuletea maendeleo.
2. Awatoe wa bara wote waliopo zanzibar, maana hao watu wanadamu yenye unafiki na uoga ili yasije yakawambukiza wazanzibar.
3. Apandishe gharama ya umeme.
Unit moja iwe 1000 badala ya 350 kwa tanzania bara, kwani gharama za uzalishaji zimekua juu sana mambo yanabadilika.
4. Atenge sehemu kubwa ya eneo huko visiwani zanzibar, atengeneze mazingira pawe na mbuga ya wanyama, wanyama awatoe kwenye mbuga 5 kubwa za Tanzania bara, hii wameifanya dubai imewasaidia sana kukuza uchumi, hii itasaidia sana kwani zanzibar ni maarufu sana kwa utalii huko duniani kuliko tanzania bara.
5. Wakuu wote wa majeshi na wakuu wote wa taasisi kubwa za serikali aweke wazanzibar kwani hao ndio wazalendo, sio wanafki wala waoga kama wa tanzania bara.
Akifanya hayo machache tutapiga hatua sana kama taifa.