Namshauri Salma Msangi na Madada wengine wasijikondeshe

Status
Not open for further replies.

kamtesh

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,395
Reaction score
513
Wasichana wa bongo, keep your bodies na afya nzuri. Nimemuona Salama Msangi anavyoonekana, sio afya jamani.

Jikubali na maumbile alio kupa mwenyezi.

Lazima mtu ajikondeshe kiasi hicho kweli kama sio kujitakia matatizo kiafya jamani?

Kwani kukonda ni dili kweli wana jamvi?

Tujadili hapa na kutoa ushauli kwa dada zetu, wanajiumiza mno.
 
chanel ten hakuna mtu anaitwa salama msangi uwe makini usijifanye unawajuua sana watu kumbe hamna kitu labda kama unamzungumzia salma
 
I wish apite hapa ajionee .to be honest havutii
 
ivi sasa hii sio personal attack??
wewe maisha yake sijui mwili wake unakuhusu nini?m of all the things unataka hapa tuanze kujadili mtu?? ivi ni kwamba hata huyo mwandish wa habari alouwawa na islamic commando hajakugusa tumjadili yye?
simpo mind discuss pipo uwe na nidhamu omba mods wautoe huu uzi sio mahali pake...................hatuk0o hapa kujadili watu na miili yao suppose anaumwa kitu wewe usichokijua will you be fair on it? ama ni aina ya mwili wake je?
mbona basi usilete tuujadili mwili wako ambao unaujua vizuri tuujadili?

MODS FUTA HUU UZI
 
mumy ivi ata wewe unaingia kwenye mtego wa kumjadili mtu eti kisa mwili wake?

Hahaa
My dia .. inawezekana nimetegeka kwasababu yeye ni celebrit fulani hivi.

But zaidi ni kwasababu kuna katabia kakuiga iga sana lolz.. tutaanza kuwaiga tuishie kuugua bure tukidhani huo ndio urembo

Mleta mada.. kaweka mtazamo wake ikiwa anajikondesha.
 
Hahaa
My dia .. inawezekana nimetegeka kwasababu yeye ni celebrit fulani hivi.

But zaidi ni kwasababu kuna katabia kakuiga iga sana lolz.. tutaanza kuwaiga tuishie kuugua bure tukidhani huo ndio urembo
na ilo ni kosa kubwa sana, yaani kumjadili celebrity kwa sababu ya mwili wake sijui ni nini ni makosa sana ebu mjadilin kwa matendo yake huu ni ujinga sana
 


If u're public figure Automatically you loose some of ur privacy, Ulitaka uzungumziwe ww??
 
If u're public figure Automatically you loose some of ur privacy, Ulitaka uzungumziwe ww??

tukujadili wewe manake ni celebrity zaid kuliko ata uyo salama.............
kupruvu kuwa celebrity on sasa mie niko na wewe na nyuma ya pazia kuna watu laki moja wanaona unavyobishana na mie wakati uyo salam saa hii kalala kwao wala hakuna anjuae kalala wapi saa izi
 

= ushauri
 
Jamii furums bwana burudaaani na vituko haviishi. Eti tumjadili Salama sijui Salma, yeye ndo kama nani na atatusaidia nini. Hayo ni maisha yake yeye binafsi na ameamua kuishi hivyo, sidhani kama kuna umuhimu wanamume kukaa nyuma ya keyboard kupoteza muda kumdiscuss mtu ambaya hana tija kwetu. Tubadilikeni jamani kujenga heshima la hili jukwaa liwe kweli la Great Thinkers na siyo umbea umbea tu usiokuwa na maana.
 
Huo ni uamuzi wa mtu binafsi na mapenzi yake mwenyewe kuhusu mwili wake sasa sie tumuache jinsi alivyo
 
Maaan....Nimemuona Nancy Sumari Naye...Yaani They Are Doing Things To Prove Something But Kwa Jicho La Kisaikolojia Unawaona Hawako Happy...Wakati Fulani Nilikuwa Nafuatilia Tyra Banks Show,She Was Dealing With These Issues(Kujikondesha Kupita Kiasi)Na Hii Hupelekea Kwa Disorders Mbalimbali Ndani Ya Mwili Ukiachana Na Kuwa Na Mfadhaiko Wa Kuogopa Kunenepa....
Kwanini Wajadiliwe?
Nancy,K-lynn Na Salma Ni Walimbwende Ambao Ni Role Models Wazuri Kwa 'watoto wazuri'......Kifashionista That Is....
HAWA ni Warembo Wanaomaintain Miili Yao Ya Kimiss Beyond Reality....Thats Bad For Upcoming Warembo....
 
Na This Goes To Wengine Ambao Once They Meet Mwanaume Mpenda Vimodel Basi Siku Uzani Ukiongezeka Robo Kilo...Si Chai Wala Nini Kitapita...Eti 'I'm Becoming Fat)....Superstar Wangu Wa Beverly Hills Mrs Lowrey Inamhuuuuuu...Maintaning Your Weight Is One Thing And Ruining Your Body Tissues Is Another....
 
Kuna Wembamba Wa Afya Na Wembamba Wa Sress Za Diet.......Note The Difference..
 
Kibonde na Jady na Gadner walijadiliwa sana kwa tabia na nafasi zao kwenye jamii. Huyu nae ni kio cha jamii ana rusha vipindi jamii inamuona na ma binti wengine wanamuona. Nje kua vile alivyo sasa ni sawasawa jameni kama sio kujiumiza ki afya. Let's be wakweli na sio kukwepa. Wote hao ni ma celebrity kwa namna fulani, na katabia ka juiga kakizidi, kemea, ila watanzania tulivyo, badae akipata matatizo ki afya, basi tutaanza tulijua alipungua sana, na kila moja atasema lake, but itakua too late. Pungua ila kupungua kukizidi tuseme sio sahihi, unakua ni ushauli kwake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…