kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 513
Wasichana wa bongo, keep your bodies na afya nzuri. Nimemuona Salama Msangi anavyoonekana, sio afya jamani.
Jikubali na maumbile alio kupa mwenyezi.
Lazima mtu ajikondeshe kiasi hicho kweli kama sio kujitakia matatizo kiafya jamani?
Kwani kukonda ni dili kweli wana jamvi?
Tujadili hapa na kutoa ushauli kwa dada zetu, wanajiumiza mno.