Namshauri Salma Msangi na Madada wengine wasijikondeshe

Status
Not open for further replies.
na ilo ni kosa kubwa sana, yaani kumjadili celebrity kwa sababu ya mwili wake sijui ni nini ni makosa sana ebu mjadilin kwa matendo yake huu ni ujinga sana

We ndo unaleta ujinga sasa,kwani kujikondesha sio tendo lake,au umejikondesha wewe halafu amekonda yeye?
 
Hili ni jukwaa la celebrities tunawajadili celebreties,salma n celebrity..kama unataka hoja nenda jukwaa la hoja mchanganyiko, JamiiForums n mtandao bora tz kwasababu umegusa kila aspect,yan kila kitu ukipendacho utakuta jukwaa lake humu..
Sasa kama hupend haya mambo umekuja kufanya nn humu.?
 
Last edited by a moderator:
na ilo ni kosa kubwa sana, yaani kumjadili celebrity kwa sababu ya mwili wake sijui ni nini ni makosa sana ebu mjadilin kwa matendo yake huu ni ujinga sana

Lingekua kosa kama huo mwili alipewa na mungu,kwasababu tungekuwa tuna qn utaalamu wa mungu,lakin alipewa mwili mzur na muumba alafu kaukongoroa,lazma tuseme..
Kama ni wewe umebugi,rudisha mwili wako wa zaman..
 
Wasichana niwaambie kitu kimoja, kuna kukonda kwa afya na kukonda kwa kujiumiza. Salma Msangi na wote wa dizaini ya huyu dada munajiymiza. Saikolojia yenu ya kuchukia unene japo wa afya tuu, munajiletea matatizo ki afya, acheni. Kuna watu wamezaliwa we mbamba, na wanafya. Sio Salma, mtu unaona kabisa anajiumiza bure hana raha na analazimisha. Dunia maisha mafupi, kwanini ajitese hivi? Akina dada acheni, huu sio ungwana kwa miili yenu!
 
Maisha namna hii sio na apunguze jamani anajiumiza mno kifya, raha iko wapi hapa? Kisa kupenda kua modo kweli? Wasichana acheni hii tabia. Furahia na kile mungu alichokupa, yani mbona huyu dada alikua mzuri tuu hapo zamani duuu!
 
Attachments

  • 1408706204572.jpg
    10.2 KB · Views: 316
Ebu oneni hivi alivyo sio vizuri kwa dada zetu. Hakua hivi, kwavile nimekaa nje ya nchi muda mrefu sijamuona siku nyingi? All ladies wpukuni hii ishu, pungua kwa kiafya hapo poa. Leo hii nchi nyingi zina pinga mwana dada kujikondesha kiasi hichi. Just my take, na natoa mfano wa huyu dada kwa sababu ni kio cha jamii. Watu wengi wana mwangalia na kuna wale wadogo nao watakuja kuiga. Let's say no to this, yani kua model ndo ifikie hatua hii kweli?
 
Attachments

  • 1408706842747.jpg
    19.4 KB · Views: 307
mwili ni wake ana haki ya kuutumia anavyopenda ila tu asivunje sheria..

hata hivyo nyie binadamu tu. hamna jema akinenepa bado mtasema amejiachia anazeeka....
 
Unapoweka picha ni lazima uweke picha mbili before na after.
 
na ilo ni kosa kubwa sana, yaani kumjadili celebrity kwa sababu ya mwili wake sijui ni nini ni makosa sana ebu mjadilin kwa matendo yake huu ni ujinga sana

Acha kupiga mkwara wenzako wewe!Kama anataka watu waendelee kuangalia kipindi chake lazima abadilike vile alivyokonda na mijicho imemtoka kama chura unategemea tumsifie?..mijicho vimikono na vimiguu mpaka anatutisha?
 
Maisha namna hii sio na apunguze jamani anajiumiza mno kifya, raha iko wapi hapa? Kisa kupenda kua modo kweli? Wasichana acheni hii tabia. Furahia na kile mungu alichokupa, yani mbona huyu dada alikua mzuri tuu hapo zamani duuu!

Zamani alikua bomba sana lkn sasa mijicho kama chura
 
Ujinga ni kukaa kimia kusitokosowa pale mambo yanakwenda kombo. Mwenzio anapokwenda kombo mshauli ajue aliambiwa na jamii.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…