chavaiclassic
Member
- Aug 21, 2014
- 5
- 0
Yeah haswaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na ilo ni kosa kubwa sana, yaani kumjadili celebrity kwa sababu ya mwili wake sijui ni nini ni makosa sana ebu mjadilin kwa matendo yake huu ni ujinga sana
Jamii furums bwana burudaaani na vituko haviishi. Eti tumjadili Salama sijui Salma, yeye ndo kama nani na atatusaidia nini. Hayo ni maisha yake yeye binafsi na ameamua kuishi hivyo, sidhani kama kuna umuhimu wanamume kukaa nyuma ya keyboard kupoteza muda kumdiscuss mtu ambaya hana tija kwetu. Tubadilikeni jamani kujenga heshima la hili jukwaa liwe kweli la Great Thinkers na siyo umbea umbea tu usiokuwa na maana.
na ilo ni kosa kubwa sana, yaani kumjadili celebrity kwa sababu ya mwili wake sijui ni nini ni makosa sana ebu mjadilin kwa matendo yake huu ni ujinga sana
Unapoweka picha ni lazima uweke picha mbili before na after.Ebu oneni hivi alivyo sio vizuri kwa dada zetu. Hakua hivi, kwavile nimekaa nje ya nchi muda mrefu sijamuona siku nyingi? All ladies wpukuni hii ishu, pungua kwa kiafya hapo poa. Leo hii nchi nyingi zina pinga mwana dada kujikondesha kiasi hichi. Just my take, na natoa mfano wa huyu dada kwa sababu ni kio cha jamii. Watu wengi wana mwangalia na kuna wale wadogo nao watakuja kuiga. Let's say no to this, yani kua model ndo ifikie hatua hii kweli?
na ilo ni kosa kubwa sana, yaani kumjadili celebrity kwa sababu ya mwili wake sijui ni nini ni makosa sana ebu mjadilin kwa matendo yake huu ni ujinga sana
Maisha namna hii sio na apunguze jamani anajiumiza mno kifya, raha iko wapi hapa? Kisa kupenda kua modo kweli? Wasichana acheni hii tabia. Furahia na kile mungu alichokupa, yani mbona huyu dada alikua mzuri tuu hapo zamani duuu!