Namshauri Tundu Lissu aandike kitabu

Namshauri Tundu Lissu aandike kitabu

Namushauri Lissu arudi tujenge Tanzania ya viwanda,mdharau kwao ni mtumwa.
Si ulisema dikteta alitwaliwa,kwanini hurudi?au ilikuwa maneno tu unalako moyoni?
 
Ili mrejee jaribio lililofeli dhidi ya maisha yake sio.
 
Namushauri Lissu arudi tujenge Tanzania ya viwanda,mdharau kwao ni mtumwa.
Si ulisema dikteta alitwaliwa,kwanini hurudi?au ilikuwa maneno tu unalako moyoni?
Lissu atachelewesha,tuliopo tunatosha kuijenga
 
Heri ya X-Mas wanajamvi.

Baada ya kumsikiliza mara nyingi na kuvutiwa na hoja anazoweka mezani, nimeona vema nimshauri Mhe. Tundu Lissu aandike kitabu.
Naunga mkono hoja, ila kwa maoni yangu, kiwe kitabu about his life, cheating death and miraclous survival.

P
 
Heri ya X-Mas wanajamvi.

Baada ya kumsikiliza mara nyingi na kuvutiwa na hoja anazoweka mezani, nimeona vema nimshauri Mhe. Tundu Lissu aandike kitabu.
Upo nyuma ya wakati; hiki hapa umekisoma?

20211225_230809.jpg
 
Namushauri Lissu arudi tujenge Tanzania ya viwanda,mdharau kwao ni mtumwa.
Si ulisema dikteta alitwaliwa,kwanini hurudi?au ilikuwa maneno tu unalako moyoni?
Bado mna kiu ya damu yake? Nyerere alisema mkishakula nyama ya mtu hamtaacha
 
Heri ya X-Mas wanajamvi.

Baada ya kumsikiliza mara nyingi na kuvutiwa na hoja anazoweka mezani, nimeona vema nimshauri Mhe. Tundu Lissu aandike kitabu.
Pengine ulichelewa kupata taarifa.
Uliye mtaja hapo amesha zindua kitabu chake mwaka huu alizindua kwa majirani zetu kenya
 
Tanzania kinapatikana bookshops hiki? Nitizame hizo bombastics alizotumia maana jamaa anazipenda sana katika maandiko yake japokuwa hazitumii sana kwenye maongezi. His writing skill is much better than his oral one, I have to admit. I just wish it matched.
 
Bila shaka vitakuwepo kikubwa ni kwenda kuvitafuta katika shops
 
Back
Top Bottom