Namshauri Tundu Lissu aandike kitabu

Namshauri Tundu Lissu aandike kitabu

Tanzania kinapatikana bookshops hiki? Nitizame hizo bombastics alizotumia maana jamaa anazipenda sana katika maandiko yake japokuwa hazitumii sana kwenye maongezi. His writing skill is much better than his oral one, I have to admit. I just wish it matched.
Mkuu kumbe unamfuatilia sana article zake ,ni kweli kabisa ana bombastick nyingi kuliko kwenye oral of which ni nzuri kuliko kama angefanya kinyume chake kwa sababu katika oral anaamini unaweza pata muda wa kupitia kamusi hahhaa
 
Back
Top Bottom