John Manoni
JF-Expert Member
- Sep 5, 2020
- 244
- 167
Anacho tayari, alikizundilia Nairobi baada ya kupona mvua ya risasa za wabongo.Heri ya X-Mas wanajamvi.
Baada ya kumsikiliza mara nyingi na kuvutiwa na hoja anazoweka mezani,nimeona vema nimshauri mhe.Tundu Lissu aandike kitabu.
Ili mrejee jaribio lililofeli dhidi ya maisha yake sio.Namushauri Lissu arudi tujenge Tanzania ya viwanda,mdharau kwao ni mtumwa.
Si ulisema dikteta alitwaliwa,kwanini hurudi?au ilikuwa maneno tu unalako moyoni?
Jaribio gani?Ili mrejee jaribio lililofeli dhidi ya maisha yake sio.
Hicho kitabu kitasomwa na mashogaHeri ya X-Mas wanajamvi.
Baada ya kumsikiliza mara nyingi na kuvutiwa na hoja anazoweka mezani, nimeona vema nimshauri Mhe. Tundu Lissu aandike kitabu.
Lissu atachelewesha,tuliopo tunatosha kuijengaNamushauri Lissu arudi tujenge Tanzania ya viwanda,mdharau kwao ni mtumwa.
Si ulisema dikteta alitwaliwa,kwanini hurudi?au ilikuwa maneno tu unalako moyoni?
Naunga mkono hoja, ila kwa maoni yangu, kiwe kitabu about his life, cheating death and miraclous survival.Heri ya X-Mas wanajamvi.
Baada ya kumsikiliza mara nyingi na kuvutiwa na hoja anazoweka mezani, nimeona vema nimshauri Mhe. Tundu Lissu aandike kitabu.
Upo nyuma ya wakati; hiki hapa umekisoma?Heri ya X-Mas wanajamvi.
Baada ya kumsikiliza mara nyingi na kuvutiwa na hoja anazoweka mezani, nimeona vema nimshauri Mhe. Tundu Lissu aandike kitabu.
Bado mna kiu ya damu yake? Nyerere alisema mkishakula nyama ya mtu hamtaachaNamushauri Lissu arudi tujenge Tanzania ya viwanda,mdharau kwao ni mtumwa.
Si ulisema dikteta alitwaliwa,kwanini hurudi?au ilikuwa maneno tu unalako moyoni?
Kitabu ameshaandika tayari, lakini kimedorola ile mbaya. Si unajua tena upstairs kulivyo.Heri ya X-Mas wanajamvi.
Baada ya kumsikiliza mara nyingi na kuvutiwa na hoja anazoweka mezani, nimeona vema nimshauri Mhe. Tundu Lissu aandike kitabu.
Pengine ulichelewa kupata taarifa.Heri ya X-Mas wanajamvi.
Baada ya kumsikiliza mara nyingi na kuvutiwa na hoja anazoweka mezani, nimeona vema nimshauri Mhe. Tundu Lissu aandike kitabu.
Pengine ulichelewa kupata taarifa.
Uliye mtaja hapo amesha zindua kitabu chake mwaka huu alizindua kwa majirani zetu kenya
Tanzania kinapatikana bookshops hiki? Nitizame hizo bombastics alizotumia maana jamaa anazipenda sana katika maandiko yake japokuwa hazitumii sana kwenye maongezi. His writing skill is much better than his oral one, I have to admit. I just wish it matched.Pengine ulichelewa kupata taarifa.
Uliye mtaja hapo amesha zindua kitabu chake mwaka huu alizindua kwa majirani zetu kenya
Wewe unakumbuka jaribio lipi?Jaribio gani?
Bila shaka vitakuwepo kikubwa ni kwenda kuvitafuta katika shopsTanzania kinapatikana bookshops hiki? Nitizame hizo bombastics alizotumia maana jamaa anazipenda sana katika maandiko yake japokuwa hazitumii sana kwenye maongezi. His writing skill is much better than his oral one, I have to admit. I just wish it matched.