Tanzania kinapatikana bookshops hiki? Nitizame hizo bombastics alizotumia maana jamaa anazipenda sana katika maandiko yake japokuwa hazitumii sana kwenye maongezi. His writing skill is much better than his oral one, I have to admit. I just wish it matched.