stujadiliane
Member
- Jun 2, 2017
- 66
- 84
Kwani hata ukijiweka pembeni siasa mbaya hazikufanyi hakuna sawa na wengine?Na kushukru Mungu Muumba mbingu na nchi kwa kuninyima kipawa cha Siasa. Sasa nakuomba Mora wangu uwanyime na uzao wangu kipawa cha Siasa utujari kazi yoyote ya kutupa ridhiki ila siyo ya Siasa
Asante Mora kwa kusikia maombi yangu.Amen