Namshukru Mungu mimi siyo mwana Siasa

Namshukru Mungu mimi siyo mwana Siasa

stujadiliane

Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
66
Reaction score
84
Na kushukru Mungu Muumba mbingu na nchi kwa kuninyima kipawa cha Siasa. Sasa nakuomba Mora wangu uwanyime na uzao wangu kipawa cha Siasa utujari kazi yoyote ya kutupa ridhiki ila siyo ya Siasa

Asante Mora kwa kusikia maombi yangu.Amen
 
Ni kosa kutokuwa mwanasiasa hata Mungu hapendi. Siasa ni harakati ambazo hata Mungu hajakataza.
 
Endelea kushukuru ndugu hata miye naungana na wewe maana siasa kuna wakati huwa zinaleta expansion joints kwenye ubongo.
 
Kuweka uzi wako mwenyewe hapa JF ni siasa vinginevyo ungetakiwa uwe unaongelea chumbani kwako, halafu eti hutaki siasa? Siasa ni kama he wa ya Oksjeni utaivuta tu vinginevyo ufe
 
wew ni nani sasa kama sio mwanasiasa
 
Na kushukru Mungu Muumba mbingu na nchi kwa kuninyima kipawa cha Siasa. Sasa nakuomba Mora wangu uwanyime na uzao wangu kipawa cha Siasa utujari kazi yoyote ya kutupa ridhiki ila siyo ya Siasa

Asante Mora kwa kusikia maombi yangu.Amen
Kwani hata ukijiweka pembeni siasa mbaya hazikufanyi hakuna sawa na wengine?
 
Back
Top Bottom