Dong Jin
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 968
- 2,034
Wakuu kwema?
Ex wangu ni nesi katika hospitali fulani hapa mjini. Tuliachana kwa masuala ya kawaida na wala si kwa ugomvi...
Sasa leo nikiwa katika pilikapilika zangu na demu wangu mpya niliyempata wiki kama mbili zilizopita nikakutana na huyu Ex na alishtuka sana baada ya kutuona. Mimi nikajua tu itakuwa ni kwavile huyu wa sasa ni kisu kuliko yeye ndo maana kahamaki.
Muda kidogo ukaingia ujumbe kwenye simu yangu. Kucheki unatoka kwake akiniambia anaombea anachokiwaza juu yetu kiwe bado hakijafanyika na kama bado nihakikishe sifanyi chochote bila kwenda kupima au kutumia kinga.
Kwanza nikapaniki, nikataka nimjibu shit kwa kuona labda anatuonea wivu. Lakini nikakumbuka huyu ni nesi na anachosema lazima kina mantiki kiasi chake
Palepale nikamwambia manzi mpya leo inabidi tupime afya zetu ili tusex maana nina hamu ya kupata mtoto. Akanijibu kwahiyo huniamini? Kama huniamini mi na wewe ndo mwisho leo! Akaondoka na mpaka sahivi hapokei simu wala sms
Ahsante sana Ex kwa hili, maana wikiend hii ilikuwa ni mizagamuo kavukavu.