Namshukuru Ex wangu kwa kuniokoa nisiunganishwe kwenye "gridi ya taifa"

Namshukuru Ex wangu kwa kuniokoa nisiunganishwe kwenye "gridi ya taifa"

Nipo kwenye dimbwi la mawazo kuna kona 5 6 nlipita mwezi ulopita najuta mimi kila siku nachukua SD ila moyo unasita nataka niwaite hawa niwapime wote ndo nijipime
Wahi kaka ukapime... Utajikuta unakonda kwa mawazo wakati hauna
 
Nishavamiaga dem mwenye miwaya na alikuwa pini haswaaa ila mungu uyu acha tu na nilipiga kavu kavu ajab nipo safe mpaka leo inakaribia mwaka.
 
Lengo la Ex limetimia, hakuna chochote hapo, alikuwa anakutaka bado na aliona wivu, Katumia mbinu kuwasambaratisha na amefanikiwa.
Nadhani ex hakuwa na wazo km ulilonalo na mm mwanzo nilidhania hivo... Lakini ktk maongez yetu na huyu mpya nilipogusia kuwa inabid tukapime afya, akacharuka eti km simuamini tuachane.

Ungekuwa ndo ww ungetoka na jibu gani?
 
Back
Top Bottom