Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Nadhani ex hakuwa na wazo km ulilonalo na mm mwanzo nilidhania hivo... Lakini ktk maongez yetu na huyu mpya nilipogusia kuwa inabid tukapime afya, akacharuka eti km simuamini tuachane.Lengo la Ex limetimia, hakuna chochote hapo, alikuwa anakutaka bado na aliona wivu, Katumia mbinu kuwasambaratisha na amefanikiwa.
Na sasa wadudu wameamka, wanashambulia mlinzi na wasaidizi wake (ARV).Jaman tujihadhari ukimwi upo na unaua.