Namshukuru Magufuli kwa kuongeza wanawake wenye vipara

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,669
Leo ningependa nitoe shukurani zangu kwa Rais wetu JPM kwa kuongeza idadi ya wanawake wenye vipara au wenye nywele za kunyoa.


Ki uhalisia wanawake wenye vipara wameongezeka kwa kasi tofaut na enzi zile kila mwanamke alikuwa na Brazilian hair.

Hii imetupunguzia hata sisi wanaume kupigwa vibomu vya pesa za saloon.

Pia hata hivyo, tupo wengine tunaopemda sana wanawake wenye vipara. Kwahyo hivi sasa imekuwa hata ni rahisi kuwapata maana enzi zile walikuwa wakionekana kma kaka kuona.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
hao kina lupita wamenyoa fashion tu kama kina nancy,faraja na mrs mengi...hakuna uhusiano wowote na bwana magu...
 
Nimependa hii

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
hao kina lupita wamenyoa fashion tu kama kina nancy,faraja na mrs mengi...hakuna uhusiano wowote na bwana magu...
Ao ni mfano tu

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Naimani ni fashion tu itapita awa watu hawakai sehemu moja wakatulia
 
Kweli muumba wa ajabu!

Najaribu kufikiria ingekuwaje kama hao wanawake weupe wangekuwa na rangi nyeusi wangeonekanaje especially picha namba 1, 2 na 3?

1, 2 & 3 uzuri uko ktk rangi, picha zinazofuata uzuri uko katika umbile la sura, awe mweupe awe mweusi bado atavutia!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
African huwa beauty pale unapokuwa natural, {brazilian, american au spanish} hair ni ujinga tu
[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…