Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Leo ningependa nitoe shukurani zangu kwa Rais wetu JPM kwa kuongeza idadi ya wanawake wenye vipara au wenye nywele za kunyoa.
Ki uhalisia wanawake wenye vipara wameongezeka kwa kasi tofaut na enzi zile kila mwanamke alikuwa na Brazilian hair.
Hii imetupunguzia hata sisi wanaume kupigwa vibomu vya pesa za saloon.
Pia hata hivyo, tupo wengine tunaopemda sana wanawake wenye vipara. Kwahyo hivi sasa imekuwa hata ni rahisi kuwapata maana enzi zile walikuwa wakionekana kma kaka kuona.
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app