Namshukuru Mnyika kupeleka hoja ya katiba Bungeni-Sumaye

Namshukuru Mnyika kupeleka hoja ya katiba Bungeni-Sumaye

Kuna wengine watatumia suala hili la Dowans kuwa mtaji kwao hasa wale amabao upepo wa siasa umewasukuma nje
 
Huyu jamaa kwa sasa anaonyesha umakini wa hali ya juu sana!!
 
Urais 2015. Wenzetu Kenya wao wanatumia nguvu ya makabila yao. Sasa hivi kuna KKK dhidi ya Raila. Sisi tuipasue kwanza CCM.
 
Mi siku nyingi najua sumaye alishashtukia CCM ya sasa dereva ni mbovu so hua anapanda kwa machale sana....ndo maana kwenye kampeni za urais hakujitokeza hata sehemu moja.
Boyz 2men walimsingizia ana hela nyingi ili tu wamchafue but hope one day ukweli utajulikana.
 
natamani kikwete akimbilie hata komoro kule kwa rafiki yake....lakini alivyo mbishi amechuna tu
 
Back
Top Bottom