mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Me ni mbaba, sio mmama,, na sjazeeka waweza hisi nna35yrsUmri wako mkuu. Naogopa ntakua nakuona kama mzazi wangu.
Hahahaahhahahaahahahahaha mzeewakungoa usiku mwema kwa niaba ya Smart911Ni wahi wapi? Kama ni kwa mahondaw mbona nipo nae hapa...
Umekumbuka when you were saying Smart911 nipakate love... Huku waniletea lips zako...Kunipakata kwanza khakhaakhaa
View attachment 496618
I love you so much Smart911
Muah muah muaaaaah Mmmmmmmmmmmmmmmmmmuaaaaah ( a very deep sweet kiss)
Same to you Mahondaw kwa niaba ya ShunieHahahaahhahahaahahahahaha mzeewakungoa usiku mwema kwa niaba ya Smart911
Come sleep now mahondaw wangu... Log off JF.. I need you on bed now...Hahahaahhahahaahahahahaha mzeewakungoa usiku mwema kwa niaba ya Smart911
Same to you Mahondaw kwa niaba ya Shunie
Kameamka ka- mahondaw kangu... Unajua when am still awake nawe ukiwa bed how stubborn i become love..Khakhaakhaaaaa asante naona Smart911 amegoma nisilale eti he still wants to talk with me
Tehteh Shunie akizingua Wee njoo kivingine na id mpya sio ile walioizoea watu teh
Sijui hio niite fugitive plan C or D! Kama lile series la kikorea teh
Muda wa kukupakata huu sasa love...Okay sweetheart I'm coming! Jf wapo tu Tehteh nalog off
Njoo toa mahari sasa sio unajilia tu sisi ndo wakwe. Usije ukatutekea mtoto wetu.Kuna kipindi nilikuja hapa jukwaani kulalamika na kuomba wanajukwaa hili wanisaidie kumpata mwanamke niliyempenda sana na ni member anayejulikana kwa jina la rubii baada ya jitihada za kumbembeleza akashindwa kabisa kunikubali pengine baada ya kujua biashara yangu ( kuuza na kusambaza majeneza, sanda na vifaa vyote vya kuzikia).
Nilitumia kila njia kumbembeleza pamoja na kuahidi kumwoa na kumpa kila atakachotaka lakini ilishindikana. Kama ujuavyo kila jambo hupangwa na Mungu, kuna member waliokuja Pm ili kutaka japo kunifariji.
Mwisho wa yote kuna mdada mmoja akavutiwa na mimi na kuanza mawasiliano ambapo baadae tulikubaliana kuonana nikamtumia nauli akaja Dom tukafahamiana she is naturally beauty na amekubaliana na maisha yangu na tuko katika maandalizi ya kwenda kweo kutoa posa.
Nimeamini kwamba sio kila mwanamke aliye JF ni malaya au mchunaji kuna wanawake wako serious kuolewa. Ningemtaja lakini kulingana na umaarufu wake hapa jukwaani sintomtaja mapema mpaka tukishafunga ndoa. Ana elimu nzuri na ni mwajiriwa serikalini na ameikubali kazi yangu.
Nawashukuru mods na waanzilishi wa JF pamoja na wote mlioniombea mema.
Hahaha
Heri ya pasaka mpendwa, huyo mie nshamuacha sio jana....
Nshasahau tayari kwa afya ya moyo wangu!!!!
Amina mamy....Ooooh!!! Kumbe hatimae akili zilikurudi eeh!! Sagi sanaaaaa.
Heri ya pasaka na kwako pia mpenzi.