Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwenyewe mwanzoni sikumwamini sana huyu ila kwa sasa nimeshamzoea na kuona kweli nimepata mke mwema.!
Halafu kuna watu ukiwaona humu jukwaani halafu ukaja kuonana nao live ni tofauti kabisa na zile story za pumba wanazokoment.
Kuna wengi huingia Jf ili kuondoa stress mimi pia ni mmoja wao lakini tukikutana live utashangaa.!
Ndivyo ilivyotokea kwa mimi na huyu member mwezetu (shemeji/wifi yenu)
Mimi ni shuhuda wa haya uyasemayo Mkuu......
Wadada wengi wa Jf wapo poa sana, tofauti na tunavyo aminishwa na comments zao.
Hongera sana mkuu....
Mungu akusimamie katika hili jema
 
Ongera mkuu..
. Namimi natafuta humu humu jf.... nimeamini jf inatoa walio bora
 
mahondaw from the day that I met you, I knew that your love would be...

mahondaw you are everything that I ever wanted in my life...
Because of you I felt my life would be complete

mahondaw i need you for the rest of my life, to make everything right. I need you and I’ll never deny that I love you

mahondaw nothing matters but you my love and only God above, could be the one to know exactly how I feel.

mahondaw when you smile you have total control, you have power like nothing I’ve felt before
I’ve let all of my feelings show cuz I want you to know that.. I love you..
 
Back
Top Bottom