Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Me nnahitaji mwanamke mwenye mtoto m1 au wa2 tuje tuunganishe na wangu wa3 tulee,, ni mwalimu wa shule ya msingi, umri wangu ni 42yrs, awe na mapenz ya kweli, mjasiria mali au mwajiriwa, zaidi awe mwaminifu na hofu ya Mungu awe nayo pia, alie serious aje pm
 
Kuviruhusu vibinti kukusogelea shida saana. Acha kunifuatilia tulia na jamaa kama yupo real. Yalisha pita focus ya sasa.

Buy, sitegemei unifuatilie tehna wala sitakujibu tena. Naheshimu watu humu.
Lol. Kumbe alikua anakusema wewe? Huku napo kuna kapo na mitongozo ya ukweli kumbe?
 
Me nnahitaji mwanamke mwenye mtoto m1 au wa2 tuje tuunganishe na wangu wa3 tulee,, ni mwalimu wa shule ya msingi, umri wangu ni 42yrs, awe na mapenz ya kweli, mjasiria mali au mwajiriwa, zaidi awe mwaminifu na hofu ya Mungu awe nayo pia, alie serious aje pm
Ningekujia sema huo umri umepishana kidogo sana na mama angu.
 
Khakhaakhaaaaa dozi ya jana ni hatareeeeeeeeeeeeeeee
Alinipa akanipa tena akanipa akanipa tena akanipa akaniongeza mpaka nikawa hoooiii bin taabani haha
Smart911 kiboko yaooooooooo
Hata wewe pia ni hatereeeee... Kwa dozi hizo mtu mchovu saa hizi angekuwa kashalala kwa uchovu wa jana.
 
Back
Top Bottom