Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Sio usirudi tena, umuachie na yeye nafasi maana una tabia ukiondoka huwa unapiga simu sasa Kaboom hapendagi ndo maana amekuachia nafasi ili ikifika zamu yake usimsumbue.
Itabidi tu uwe unaniblock kwa muda..maana vidole huwa vinawasha
 
Hayahayaaaaaaaaaaaaaaa rubii ni wanaume wachache sana kama hawa wenye kuwaza kutoa posa

Hongera sana Mbwa dume
Teh namimi sijui Smart911 ataenda lini kutoa posa lol 😛😛

Cc Smart911
thubutuu.. huyu akikutolea mahari mimi najirusha baharini niwe chakula cha samaki.
Hayahayaaaaaaaaaaaaaaa rubii ni wanaume wachache sana kama hawa wenye kuwaza kutoa posa

Hongera sana Mbwa dume
Teh namimi sijui Smart911 ataenda lini kutoa posa lol 😛😛

Cc Smart911
 
Umejuaje km ni mke Mwema,
Subiri tatizo litokee ndo utajua wema wake,
Time will tell u
 
Back
Top Bottom