Mbona kawaida sana!! kila mtu ana radha zake, kwa mfano mimi binafsi sioni kama kuna kitu kitamu kama kisamvu cha kopo. na nimesikia wadada wengi husifia matango. kwa hiyo usijidanganye kwamba utamu wa kitumbua unazidi raha zote dunianiNamshukuru sana Mungu kwa uamuzi wa busara wa kunipendelea na kuniumba mwanaume. Kwakweli utamu wa kitumbua unazidi raha zote duniani. Hivi kuna kitu kizuri kama kitumbua duniani? Lakini najiuliza wanawake nao huwa wanapata utamu uleule ninaopata mimi?
"Vitumbua"......labda wengine huwa wanaweka 'sukari' ndio maana vinakuwa 'vitamu'!.....lakini mbona kuna wengine wanasema vina "chumvi"! Au ni aina tu ya 'ulaji wa kitumbua' ndio inatofautisha?