Namshukuru Mungu, kitumbua kitamu sana

Namshukuru Mungu, kitumbua kitamu sana

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
3,831
Reaction score
1,169
Namshukuru sana Mungu kwa uamuzi wa busara wa kunipendelea na kuniumba mwanaume. Kwakweli utamu wa kitumbua unazidi raha zote duniani. Hivi kuna kitu kizuri kama kitumbua duniani? Lakini najiuliza wanawake nao huwa wanapata utamu uleule ninaopata mimi?
 
Mungu wangu, Mwita25 hii nini tena. ?.
 
Mwita25 kumbe hii ndiyo tabia yako halisi
siku zote ulikuwa unajificha tu.
haya kitumbua gani hicho tena.
 
Mwita25 kumbe hii ndiyo tabia yako halisi
siku zote ulikuwa unajificha tu.
haya kitumbua gani hicho tena.

Hizi raha kwakweli Mungu alizipangilia. Yaani hata bila hela nikipata ile kitu mimi mwemwere, yaani faraja tosha
 
:lol: hahhahhaaaaaaaaaaaaaa!!! lini umeanza kula wewe?? hhahaaaaa na samaki pia usisahau,, bata jee?
 
Namshukuru sana Mungu kwa uamuzi wa busara wa kunipendelea na kuniumba mwanaume. Kwakweli utamu wa kitumbua unazidi raha zote duniani. Hivi kuna kitu kizuri kama kitumbua duniani? Lakini najiuliza wanawake nao huwa wanapata utamu uleule ninaopata mimi?
Mbona kawaida sana!! kila mtu ana radha zake, kwa mfano mimi binafsi sioni kama kuna kitu kitamu kama kisamvu cha kopo. na nimesikia wadada wengi husifia matango. kwa hiyo usijidanganye kwamba utamu wa kitumbua unazidi raha zote duniani
 
"Vitumbua"......labda wengine huwa wanaweka 'sukari' ndio maana vinakuwa 'vitamu'!.....lakini mbona kuna wengine wanasema vina "chumvi"! Au ni aina tu ya 'ulaji wa kitumbua' ndio inatofautisha?...Lol
 
"Vitumbua"......labda wengine huwa wanaweka 'sukari' ndio maana vinakuwa 'vitamu'!.....lakini mbona kuna wengine wanasema vina "chumvi"! Au ni aina tu ya 'ulaji wa kitumbua' ndio inatofautisha?

Huyo anayeweka chumvi kitumbuani yampasa amuone Babu wa Loliondo.
 
mwita kwenye siasa kumbe ulikuwa unapoteza muda,huku ndo kunakufaa.
 
Hahahahaaa afadhali ulitoka kwa Magamba maana ungekuwa saa hizi unasifia kitumbua ambacho umekipata toka kwa mke wa mtu!!!!
 
Back
Top Bottom