G Gugwe Senior Member Joined Jul 25, 2011 Posts 122 Reaction score 54 Oct 25, 2011 #81 Kumbe yule mpiganaji wa waasi aliamua kumuua gaddafi baada ya kutokea kutoelewana na wapiganaji wenzake
Kumbe yule mpiganaji wa waasi aliamua kumuua gaddafi baada ya kutokea kutoelewana na wapiganaji wenzake
bombu JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 1,127 Reaction score 542 Oct 25, 2011 #83 AshaDii said: Makubwa!!! Khaaa! Click to expand... umeona eeh, dada? Makubwa kweli kweli, ngoja ntafute mbeleko
AshaDii said: Makubwa!!! Khaaa! Click to expand... umeona eeh, dada? Makubwa kweli kweli, ngoja ntafute mbeleko
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,256 Reaction score 16,317 Oct 25, 2011 #84 mpita njia said: si bure, lazima kuna kitu kimetokea Click to expand... inaelekea 25 katafuna kitumbua cha ukweli huko kwao alikua anatafuna vyenye mchanga tuu
mpita njia said: si bure, lazima kuna kitu kimetokea Click to expand... inaelekea 25 katafuna kitumbua cha ukweli huko kwao alikua anatafuna vyenye mchanga tuu