Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mi wa mkoan mchamba wimaAya ngoja waje wanaume wa dar wakumwagie maji na matope
Aeiou
Kher ya kuzaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu ila ndo nakikaribia kifoHongera sana aiseee
Asante ndugu mwenyekiti toka umemaliza six bado una miaka kumi naaaKaribu katibu
a e i o u
Hahaha dah aisee mi na miaka kumi naa trust meAsante ndugu mwenyekiti toka umemaliza six bado una miaka kumi naaa
HAPPY ''B'' DAY kwako
Kabisa mkuu
Hapana mkuu sijui wanakuita mbez
Ashukuriwe mwenyezi mungu aliyeniwezesha kufikia umri huu ... Ni neema za mungu ... Tu changamoto ni nyingi lakin mkono wa bwana unatufunika ...kitu kikubwa ni kwamba wote tunakikaribia kifo ... Kitu cha muhimu ni
Kujitahidi kutenda mema ikiwa unamwamin au haumwamin mungublakini cha msingi ni tuishi kwa upendo na mshikamano
Mbarikiwe wote jamani na muungane na mimi katika sherehe hii ya kufikisha miaka kumi naaa.. Tangu nizaliwe. Mwifwa Shunie Da vinci mumu Clkey Demiss Mama Sabrina View attachment 844359
a e i o u
asante mkuuhappy birthday mkuu
msalimie swallehe