Namshukuru Mungu kutimiza miaka kumi naa...

Namshukuru Mungu kutimiza miaka kumi naa...

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
20,178
Reaction score
39,641
.
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    7.3 KB · Views: 55
Ashukuriwe mwenyezi mungu aliyeniwezesha kufikia umri huu ... Ni neema za mungu ... Tu changamoto ni nyingi lakin mkono wa bwana unatufunika ...kitu kikubwa ni kwamba wote tunakikaribia kifo ... Kitu cha muhimu ni
Kujitahidi kutenda mema ikiwa unamwamin au haumwamin mungublakini cha msingi ni tuishi kwa upendo na mshikamano

Mbarikiwe wote jamani na muungane na mimi katika sherehe hii ya kufikisha miaka kumi naaa.. Tangu nizaliwe. Mwifwa Shunie Da vinci mumu Clkey Demiss Mama Sabrina View attachment 844359

a e i o u


happy birthday mkuu

msalimie swallehe
 
Back
Top Bottom