SIWEZI TOA NUMBER KIZEMBE PUBLICToa namba wewe kesho kutwa tusikie umeokotwa kisemvule hujitambui
POLE MKUU..SAWAHujalazimishwa
Si niliona mnachelewa, nikaona kumbe nina shida peke yangu.Wenzio tupate nini? [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
Utapeleka???Naziomba nkusaidie kupelekea watoto yatima
Nsalimie ankooooBasi nitumie na mimi nikanunue kuku leo nile na anko wako
Mnajichelewesha kizembe tuOyaa zimeisha nafasi au niwahi siti?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hivi Relief Mirzska unashindwaga nini kunitag kwenye nyuzi za faida kama hizi badala yake unanitagi kwenye nyuzi za wanaoblokiana wasapu [emoji3][emoji3]
Ningepata saa ngapi na hujanitag [emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi hukupata??? Rafiki kabisa hukupata??
Namba yako ni ile ile rafiki????Ningepata saa ngapi na hujanitag [emoji134]
Haswaa[emoji144]Namba yako ni ile ile rafiki????
Hahahahaahahahahhhhaaha.Haswaa[emoji144]
Tafadhali mkumbusheHahahahaahahahahhhhaaha.
Ngoja kwanza, nlikuwa na ligi na mtu akasema nkituma kiasi chochote yeye ata-double. Mimi nkatuma 50, hivi Ali-double???
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ndioo,,nipe nipelekeUtapeleka???
Ina maana hukumwambia cute b ???Tafadhali mkumbushe
Msg nshaifuta. Wewe ndio ulitakiwa umwambieWewe hukumwambia[emoji23][emoji23] mtumie na meseji ya uthibitisho kabisa