Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIWEZI TOA NUMBER KIZEMBE PUBLICToa namba wewe kesho kutwa tusikie umeokotwa kisemvule hujitambui
POLE MKUU..SAWAHujalazimishwa
Si niliona mnachelewa, nikaona kumbe nina shida peke yangu.Wenzio tupate nini? [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
Utapeleka???Naziomba nkusaidie kupelekea watoto yatima
Nsalimie ankooooBasi nitumie na mimi nikanunue kuku leo nile na anko wako
Mnajichelewesha kizembe tuOyaa zimeisha nafasi au niwahi siti?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi Relief Mirzska unashindwaga nini kunitag kwenye nyuzi za faida kama hizi badala yake unanitagi kwenye nyuzi za wanaoblokiana wasapu [emoji3][emoji3]
Ningepata saa ngapi na hujanitag [emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi hukupata??? Rafiki kabisa hukupata??
Namba yako ni ile ile rafiki????Ningepata saa ngapi na hujanitag [emoji134]
Haswaa[emoji144]Namba yako ni ile ile rafiki????
Hahahahaahahahahhhhaaha.Haswaa[emoji144]
Tafadhali mkumbusheHahahahaahahahahhhhaaha.
Ngoja kwanza, nlikuwa na ligi na mtu akasema nkituma kiasi chochote yeye ata-double. Mimi nkatuma 50, hivi Ali-double???
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ndioo,,nipe nipelekeUtapeleka???
Ina maana hukumwambia cute b ???Tafadhali mkumbushe
Msg nshaifuta. Wewe ndio ulitakiwa umwambieWewe hukumwambia[emoji23][emoji23] mtumie na meseji ya uthibitisho kabisa