Omba Tigo wakutumie[emoji3]Msg nshaifuta. Wewe ndio ulitakiwa umwambie
Wewe una lako wewe. Kama hutaki shauri yakoOmba Tigo wakutumie[emoji3]
Mkumbushe bwanaWewe una lako wewe. Kama hutaki shauri yako
Anza wewe kuthibitisha Mungu hayupo...!Kwanza thibitisha Mungu yupo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naomba ofa itoke kwako kiongoziMnajichelewesha kizembe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si niliona mnachelewa, nikaona kumbe nina shida peke yangu.
Mnapenda pesa mno, ndiyo maana mnaliwa aisei..Atakuwa katoa kwa upendeleo, niko kwa wakala hadi sasa[emoji1745][emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Itakuwa ni ajabu kwa mwanaume kuliwa, lakini kuna ajabu gani mwanamke akiliwa?Mnapenda pesa mno, ndiyo maana mnaliwa aisei..
Nani kiongozi???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naomba ofa itoke kwako kiongozi
We mbona unaliwa sie hatuongei[emoji1745][emoji1745][emoji1745]Mnapenda pesa mno, ndiyo maana mnaliwa aisei..
Ndio unisaidie kushangaa mwenza!!Itakuwa ni ajabu kwa mwanaume kuliwa, lakini kuna ajabu gani mwanamke akiliwa?
Kisichopo hakithibitishiki hakipo, kwa sababu hakipo ili kithibitishike hakipo.Anza wewe kuthibitisha Mungu hayupo...!
Nitamsalimia dearNsalimie ankoooo
Nani kiongozi???
Kiukweli mkuu leo ni Siku yang ya kizaliwa ivyo ungenipa iyo twenti ningetoa show kubwa sana apa geto Nile nijipongeze. Hivyo fanya kweli mze baba nitumie kwa namba hii..Hello forums
Leo nimeamua kutoa shiling elfu 20 kwa watu wa tano kama shukurani kwa Mwenyezi Mungu kwa kunifanyia wepesi na kuniraisishia njia ya kutimiza malengo yangu mwaka huu,malengo ambayo nilikuwa nayo kwa muda mrefu.
Maombi na sala za kila siku zimeniweka katika nafasi nzuri ya Mungu kusikiliza kilio changu na kunitimizia kile nilichomuomba.
Nami nikaona ni vyema nitoe shukrani zangu hapa na kwengine ili kumthibitishia Mungu kuwa nimemshukuru kwa kile alichonifanyia.
Kwa vile siwezi kutoa kwa kila mtu basi ni muhimu kwa watu wenye shida wanaweza kuniambia kwanini niwape hiyo elfu 20.
Ukishatoa maelezo yako,usisahau kuweka namba yako mwisho wa maelezo yako ila tu iwe namba ya voda na nitachangua watu watano tu
Mungu awabariki.
Asante