Namshukuru Mungu

Namshukuru Mungu

Atakuwa katoa kwa upendeleo, niko kwa wakala hadi sasa[emoji1745][emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mnapenda pesa mno, ndiyo maana mnaliwa aisei..
 
Anza wewe kuthibitisha Mungu hayupo...!
Kisichopo hakithibitishiki hakipo, kwa sababu hakipo ili kithibitishike hakipo.

Kilichopo ndicho kinachothibitishika kipo, kwa sababu kipo na kinathibitishika kipo.

Ndiyo maana huwezi kupata alama za vidole za kuthibitisha mwizi ambaye hayupo kuwa hayupo.

Umeelewa?
 
Kwa wale waliokosa hata wasijali Mungu atupe uzima nitajipanga ili niweze kutoa kwa watu wa kutosha na nimeshukuru kwa kupokea kile kidogo nilichotoa,Mungu akinizidishia na nyie pia nitawazdishie kile alichonipa
 
Hello forums
Leo nimeamua kutoa shiling elfu 20 kwa watu wa tano kama shukurani kwa Mwenyezi Mungu kwa kunifanyia wepesi na kuniraisishia njia ya kutimiza malengo yangu mwaka huu,malengo ambayo nilikuwa nayo kwa muda mrefu.

Maombi na sala za kila siku zimeniweka katika nafasi nzuri ya Mungu kusikiliza kilio changu na kunitimizia kile nilichomuomba.

Nami nikaona ni vyema nitoe shukrani zangu hapa na kwengine ili kumthibitishia Mungu kuwa nimemshukuru kwa kile alichonifanyia.

Kwa vile siwezi kutoa kwa kila mtu basi ni muhimu kwa watu wenye shida wanaweza kuniambia kwanini niwape hiyo elfu 20.

Ukishatoa maelezo yako,usisahau kuweka namba yako mwisho wa maelezo yako ila tu iwe namba ya voda na nitachangua watu watano tu

Mungu awabariki.
Asante
Kiukweli mkuu leo ni Siku yang ya kizaliwa ivyo ungenipa iyo twenti ningetoa show kubwa sana apa geto Nile nijipongeze. Hivyo fanya kweli mze baba nitumie kwa namba hii..
 
Back
Top Bottom