Namshukuru Mungu

Namshukuru Mungu

Hello forums
Leo nimeamua kutoa shiling elfu 20 kwa watu wa tano kama shukurani kwa Mwenyezi Mungu kwa kunifanyia wepesi na kuniraisishia njia ya kutimiza malengo yangu mwaka huu,malengo ambayo nilikuwa nayo kwa muda mrefu.

Maombi na sala za kila siku zimeniweka katika nafasi nzuri ya Mungu kusikiliza kilio changu na kunitimizia kile nilichomuomba.

Nami nikaona ni vyema nitoe shukrani zangu hapa na kwengine ili kumthibitishia Mungu kuwa nimemshukuru kwa kile alichonifanyia.

Kwa vile siwezi kutoa kwa kila mtu basi ni muhimu kwa watu wenye shida wanaweza kuniambia kwanini niwape hiyo elfu 20.

Ukishatoa maelezo yako,usisahau kuweka namba yako mwisho wa maelezo yako ila tu iwe namba ya voda na nitachangua watu watano tu

Mungu awabariki.
Asante
Amina,ila ingependeza zaidi kama ungeenda kutoa kwa wahitaji moja kwa moja wagonjwa wasio na ndugu, wafungwa, omba omba n.k
 
Mkuu hivi uko serious?
 
Katoe sadaka kanisani/msikitini
Katoe msaada hospital/mahabusu/jela/kwa yatima
Ukishindwa sana kawape omba omba mkuu.

Hata mimi naitamani hiyo 20k ila kuna watu wana uhitaji zaidi ya kina mimi
 
Ebu twende pm huko
Atakuwa katoa kwa upendeleo, niko kwa wakala hadi sasa[emoji1745][emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nmefanya hvyo,nkaona si mbaya hata hapa jf wapo
Amina,ila ingependeza zaidi kama ungeenda kutoa kwa wahitaji moja kwa moja wagonjwa wasio na ndugu, wafungwa, omba omba n.k
 
Kutokana na uitaji wa watu wengi imenibidi nitor kidogo kwa kila mmoja kwaiyo usishangae ukaona chini ya elf 20,na nmepakiza elf 30 tu,
 
Sijafanya hivyo nmetoa kwa yeyote alie hitaj nilimtumia
Atakuwa katoa kwa upendeleo, niko kwa wakala hadi sasa[emoji1745][emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hata hapa ni sehemu moja wapo,siku nyingne nitaenda sehemu nyingine sio mbaya
Katoe sadaka kanisani/msikitini
Katoe msaada hospital/mahabusu/jela/kwa yatima
Ukishindwa sana kawape omba omba mkuu.

Hata mimi naitamani hiyo 20k ila kuna watu wana uhitaji zaidi ya kina mimi
 
Unatoa na bado unataka vigezo? Ungepika tu ubwabwa ukalisha watoto wa mtaani kwako
 
Ndio,maana mm najua nawalenga wakina nani
Ubwabwa ndo napika karibu

Back
Top Bottom