Namshukuru Mwenyezi Mungu Leo Ni Birthday Yangu

Hakika Sina Cha Kumlipa Mwenyezi Mungu Zaidi Ya Kumwambia AKHSANTE Kwa Kunipa Miaka Yangu Hii Niliyonayo Huku Nikiwa Nipo Salama Kabisa Na Sina Tatizo Lolote Lile.

Pia Napenda Kuchukuwa Nafasi Hii Kuwafahamisheni Members Kuwa Leo Tarehe 27, March Ni Birthday Yangu Ila Nisingependa Ipite Hivi Hivi Kama Nisingesema Kuwa Katika Moja Ya Furaha Zangu Na Maarifa Yangu Nimetoa Humu Kwenu JF Members Na Kusema Ukweli Huwa Nawafurahia Mno.

Napenda Pia Kuchukua Fursa Hii Murua Kuomba Radhi Kwa Wale Wote Ambao Kwa Namna Moja au Nyingine Niliwakwaza Na Sasa Naomba Tuanze Upya.

Nawapendeni Nyote Na Mwenyezi Mungu Awabariki Nanyi Pia Na Waanzilishi Wa Mtandao Huu Mzuri Na Muhimu Wa Jamii Forums Bila Kuwasahau Na Moderators Wote Kwa Kazi Yao Nzito Ya Kuhakikisha Mambo Yanaenda Vizuri Huku Wakitukong'oli BAN Za Kufa Mtu.

Akhsante Mwenyezi Mungu, Wazazi, Walimu / Wahadhiri Marafiki Zangu Wote Waliokuwa Na Msaada Mkubwa Mno Kwangu Hakika Bila Jitihada Zenu Leo Nisingekuwa GENTAMYCINE Huyu. Salute Kwenu Amen / Inshaallah.
HBDAY MPWA WANGU HONGERA SANA UNGETUTAJIA NA KALE KAMIAKA ULICHO NSMS
 
Nimetoka Kuweka Shada La Maua Hapa Brussels Ubelgiji Nilitaka Nikamsalime Mbwana Samatta Mara Moja Lakini Yule House Girl Wake Mzungu Kaniambia Karudi Tanzania Kufunga Bao Jingine Kesho Uwanjani Taifa. Sasa Najiandaa Kwenda Kupanda Ndege Kuelekea Paris Ambako Leo Nataka Nikakeshe Na WENGE MUSICA BCBG Wanafanya ONYESHO Lao MAALUM Zenith Kisha Kesho Mchana Natarajia Kurejea Kwangu Washington Nina Kikao Muhimu Na Wagombea Urais Wawili MAARUFU Wa Republican Trump Na Mama Hillary Wa Democrat. Umesema DAWASCO Samahani Ndiyo Nini Hicho Mkuu? 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂.
Maribs
 
upload_2016-3-27_16-3-41.jpeg

Hakika Sina Cha Kumlipa Mwenyezi Mungu Zaidi Ya Kumwambia AKHSANTE Kwa Kunipa Miaka Yangu Hii Niliyonayo Huku Nikiwa Nipo Salama Kabisa Na Sina Tatizo Lolote Lile.

Pia Napenda Kuchukuwa Nafasi Hii Kuwafahamisheni Members Kuwa Leo Tarehe 27, March Ni Birthday Yangu Ila Nisingependa Ipite Hivi Hivi Kama Nisingesema Kuwa Katika Moja Ya Furaha Zangu Na Maarifa Yangu Nimetoa Humu Kwenu JF Members Na Kusema Ukweli Huwa Nawafurahia Mno.

Napenda Pia Kuchukua Fursa Hii Murua Kuomba Radhi Kwa Wale Wote Ambao Kwa Namna Moja au Nyingine Niliwakwaza Na Sasa Naomba Tuanze Upya.

Nawapendeni Nyote Na Mwenyezi Mungu Awabariki Nanyi Pia Na Waanzilishi Wa Mtandao Huu Mzuri Na Muhimu Wa Jamii Forums Bila Kuwasahau Na Moderators Wote Kwa Kazi Yao Nzito Ya Kuhakikisha Mambo Yanaenda Vizuri Huku Wakitukong'oli BAN Za Kufa Mtu.

Akhsante Mwenyezi Mungu, Wazazi, Walimu / Wahadhiri Marafiki Zangu Wote Waliokuwa Na Msaada Mkubwa Mno Kwangu Hakika Bila Jitihada Zenu Leo Nisingekuwa GENTAMYCINE Huyu. Salute Kwenu Amen / Inshaallah.
 
Ngoja twende cocobeach sisi Mpwa kabla aijabinafsishwa tukaingia NA kiingilio

Siriyenu manjinanarudi tena viingilio avikwepeki
 
Uwiiiiiiii nimeshakuwish sehemu,pia nilitaka nifanye kitu kwa ajili yako ila sio mbaya.
Happy birthday rafiki yangu kipenzi GENTAMYCINE.
Mungu akupe maisha marefu uzidi kutuvunja mbavu,kwani umekuwa ukiniongezea siku kwa ucheshi wako.
Kila la kheri.....
Heri ya siku yako ya kuzaliwa
Heri ya pasaka.
 
Attachments

  • 1459084180502.jpg
    1459084180502.jpg
    14.7 KB · Views: 27
  • 1459084272576.jpg
    1459084272576.jpg
    79.3 KB · Views: 27
Nimetoka Kuweka Shada La Maua Hapa Brussels Ubelgiji Nilitaka Nikamsalime Mbwana Samatta Mara Moja Lakini Yule House Girl Wake Mzungu Kaniambia Karudi Tanzania Kufunga Bao Jingine Kesho Uwanjani Taifa. Sasa Najiandaa Kwenda Kupanda Ndege Kuelekea Paris Ambako Leo Nataka Nikakeshe Na WENGE MUSICA BCBG Wanafanya ONYESHO Lao MAALUM Zenith Kisha Kesho Mchana Natarajia Kurejea Kwangu Washington Nina Kikao Muhimu Na Wagombea Urais Wawili MAARUFU Wa Republican Trump Na Mama Hillary Wa Democrat. Umesema DAWASCO Samahani Ndiyo Nini Hicho Mkuu? 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂.
We na LE mutuz ni ndugu?????
 
Happy Birthday aiseee.

Mungu akubariki sana katika maisha yako yote, mpaka useme "please sir stop it, it is enough sir".

Amina
 
haaaaaa,kumbe popoma uliyetukuka leo ndio umezaliwa??,hongera sana mzee ila nasikitika kukutaarifu kuwa yule chizi maarufu hapa moro aliyekuwa anaitwa ' kibedui' mungu amlaze mahali pema,aliyekuwa anatembea kwa mguu moro hadi dar na yeye pia alizaliwa siku ya leo hivi hivi kama wewe,sasa sijui hii inamaanisha nn mkuu
 
Back
Top Bottom