Namshukuru Mwenyezi Mungu Leo Ni Birthday Yangu

HBDAY MPWA WANGU HONGERA SANA UNGETUTAJIA NA KALE KAMIAKA ULICHO NSMS
 
Maribs
 

 
Ngoja twende cocobeach sisi Mpwa kabla aijabinafsishwa tukaingia NA kiingilio

Siriyenu manjinanarudi tena viingilio avikwepeki
 
Uwiiiiiiii nimeshakuwish sehemu,pia nilitaka nifanye kitu kwa ajili yako ila sio mbaya.
Happy birthday rafiki yangu kipenzi GENTAMYCINE.
Mungu akupe maisha marefu uzidi kutuvunja mbavu,kwani umekuwa ukiniongezea siku kwa ucheshi wako.
Kila la kheri.....
Heri ya siku yako ya kuzaliwa
Heri ya pasaka.
 

Attachments

  • 1459084180502.jpg
    14.7 KB · Views: 27
  • 1459084272576.jpg
    79.3 KB · Views: 27
We na LE mutuz ni ndugu?????
 
Happy Birthday aiseee.

Mungu akubariki sana katika maisha yako yote, mpaka useme "please sir stop it, it is enough sir".

Amina
 
haaaaaa,kumbe popoma uliyetukuka leo ndio umezaliwa??,hongera sana mzee ila nasikitika kukutaarifu kuwa yule chizi maarufu hapa moro aliyekuwa anaitwa ' kibedui' mungu amlaze mahali pema,aliyekuwa anatembea kwa mguu moro hadi dar na yeye pia alizaliwa siku ya leo hivi hivi kama wewe,sasa sijui hii inamaanisha nn mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…